Plot4Sale Ekali 43.5 kwa milioni 5

Plot4Sale Ekali 43.5 kwa milioni 5

alini alberto

Member
Joined
Jun 6, 2015
Posts
69
Reaction score
28
Ekali 7 zina parachichi za mwaka mmoja na nusu

Lina hati miliki

Maji yapo karibu

Kijiji cha Mfriga-Lupembe(Njombe vijijini)

Nusu kilomita kutoka barabara kubwa ya Vumbi

Karibu kwa taarifa zaidi 0629795064
IMG_4550.jpg

IMG_4549.jpg

IMG_4548.jpg

IMG_4547.jpg
 
Ardhi ya aina hiyo hapo juu ukipanda miti ya mbao aina ya pines, ndani ya miaka 10 tu tayari ni milionea. Najuta kwa nini sikuja Lupembe wakati ule nilipo pangiwa huko na mwajiri.
 
Back
Top Bottom