alini alberto
Member
- Jun 6, 2015
- 69
- 28
Wanakuvizia kabla hujavuna linapigwa kiberitiArdhi ya aina hiyo hapo juu ukipanda miti ya mbao aina ya pines, ndani ya miaka 10 tu tayari ni milionea. Najuta kwa nini sikuja Lupembe wakati ule nilipo pangiwa huko na mwajiri.
5m!!!Ebu nihakishie nijilipue mkuu.
Mbona ni nyingi sana alafu kiasi chakawaida, inafikirisha [emoji41]
Ardhi ya aina hiyo hapo juu ukipanda miti ya mbao aina ya pines, ndani ya miaka 10 tu tayari ni milionea. Najuta kwa nini sikuja Lupembe wakati ule nilipo pangiwa huko na mwajiri.