El achangia ujenzi wa shule ya kiislam

Simba Mkali

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
620
Reaction score
239
Waziri Mkuu Mstaafu EL akiwasili Mwanga Kilimanjaro kwa ajili ya kuendesha harambee ya kukusanya michango kwa ajili ya shule ya Kiislam, EL alitoa milioni 10 kama mchango wake, Waziri Maghembe anaonekana nyuma yake (Picha na habari kwa hisani ya Michuzi blog).
 
akikanyaga quran kwa bahati mbaya watachoma bunge
 
Ponda siajaenda shule hata darasa moja mufti afanye mpango ampeleke hiyo shule
 
Ponda na makeke yake ya kipuuzi yoooote hajawahi kumgusa huyu jamaa

ajaribu tusikie kitu
 
Napendekeza wakristo wawagawie baadhi ya mashule kwa masharti ya kutochoma makanisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…