Tetesi: EL CHAPO katoroka gerezani kwa mara ya tatu

Yaani huyu ni kama kaamua tu iwe gemu yake anafurahia hadi afe, angeshakuwa huru sasa hivi.
 
Hahahahaaaa huyo jamaa ni shida sana kama ametoroka tena
 
Si alihamishiwa marekani. Huko nako ametoroka?
 
Alihamishiwa lini Marekani?

Kitambo, wiki zishapita, ila wakili wake alipinga iyo kitu mahakamani lkn usa baby yako isivozingatia haki za binadam whilst inajifanya kuihubiri, wakamuhamisha kwa nguvu, alitua kwenye army base gani sijui, tight security. So I dont think this story is true
 
Huyu sio mchawi ila ametumia akili saana!!huku dalls wanauana wazungu na wafrika na huku na yeye anapanga yake kweli pesa ni shida na huku kwetu akifungwa je?
Kwenu wapi,huku ambako trafiki wanayaacha magari yakatoe roho za watu au WAP?
 
Elchapo na marekani na mexico wote wanajua sana wanachofanya na wanavyogain kwa hiyo ni ngumu sana kusema katoroka in fact marekani na mexico wote wanategemea fedha za drug ili kufanikisha mipango yao mingine
 

Hebu nitajie jina la gereza alilopelekwa, mji, na jimbo?
 
Mods toeni hii habari ya uongo.

BBC wamethibitisha ni taarifa za upotoshaji zilizosambaa jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…