[emoji23] [emoji23] [emoji23]ngoja niandae rambirambi kabsaa
Karibu uumbukeReal Madrid hapa,wala sina mashaka kabisa.
Barca lazima alale.
Viva Barcelonangoja niandae rambirambi kabsaa
Mkishinda nahamia Burundi na ntakutumia picha.
Kwa kuwa hamshindi sina tatizo
Hii mechi Madrid anabebwa sana ngoja tumalizie second halfHuyi refa ana onesha kuipendelea barca lakin tuta wafunga hivo hvo
Mkishinda nahamia Burundi na ntakutumia picha.
Kwa kuwa hamshindi sina tatizo