El-Merreikh yakataa mechi yao na Azam isioneshwe wala kurekodiwa

El-Merreikh yakataa mechi yao na Azam isioneshwe wala kurekodiwa

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
"Al Merriekh have decided NOT to broadcast their CAF Champions League game against Azamfc next Saturday.. Weird"

Maelezo: Timu ya Al Merreikh imekataa mechi yao ya jmosi vs Azam isioneshwe live ktk TV Nini maoni yako kama mwanamichezo?

Je Al Merreikh wamepanga kufanya mbinu chafu, wanataka hela nyingi au wanahtaji kelele za washabiki uwanjani?

 
Nasubiri Comment za CAF kama watakubali au watakataa.Hapo ndio nitacoment vizuri,ila nawapa moyo Azam Mashabiki wao tuko pamoja nao
 
Manji alivofanya hivyo alionekana mjinga,nakushauri ndugu manji shikilia uzi huohuo na mizengo pinda shikilia uzi huo huo kwamba simba APIGWE TU
 
Hakuna sheria ya #FIFA inayoruhusu uo upuuz wa Al-mereikh kama timu husija ina uwezo wa ku-stream mechi hyo kwa uwezo binafsi
 
Wachezaji wao wanataka waingie na bastora uwanjani ili azam wakubali kufungwa la sivyo hatoki mtu
 
Back
Top Bottom