hapo kwenye red ndo jibu
Je Al Merreikh wamepanga kufanya mbinu chafu, wanataka hela nyingi au wanahtaji kelele za washabiki uwanjani?
Mhhh,hujuma inanukia hapo...
Wachezaji wao wanataka waingie na bastora uwanjani ili azam wakubali kufungwa la sivyo hatoki mtu