P Precious Diamond JF-Expert Member Joined Jun 9, 2023 Posts 753 Reaction score 1,699 Oct 1, 2026 #1 Uzi maalum wa kurekodi Mvua El Nino zinaendelea katika nchi mbalimbali ulimwenguni. Panama wamapigwa na mvua na maporomoko ya udongo kwa mara nyingine, baada ya round ya kwanza kuwachapa kwelikweli. Soma Zaidi Mvua Zaharibu Mabomba: Estates 15 Nairobi Wakosa Maji Baada ya Mafuriko Miujiza Nepal; Sanamu ya Budha yabaki imesimama imara katikati ya Mafuriko makubwa! Mafuriko yalivyokumba Jiji la New York, miundombinu ya mifereji yazidiwa barabara zafurika maji Canada: Mvua Kubwa na Upepo Mkali Vyatikisa Toronto, maelfu wakosa umeme, safari za ndege zaahirishwa Takribani Watu 95 Wafariki, Mamia Wapotea baada ya mafuriko na maporomoko ya matope kutokea katika eneo la mpaka wa Nepal na Tibet Mafuriko makubwa Uhispania Mwanamke wa miaka 102 afariki Jiji la New York lakumbwa tena na Mafuriko makubwa Mafuriko makubwa yatokea kwenye Jimbo la Rivers nchini Nigeria, Mamba na wanyama wengine waonekana wakiogelea mitaani Mafuriko Nepal: Idadi ya waliofariki yazidi 60 baada ya mito kufurika na kuvuka viwango vya hatari Chile: Mafuriko makubwa yasomba magari na basi la abiria katika eneo la Las Condes Gavana Johnson Sakaja Atangaza Mpango wa KSh10 Bilioni Kukabiliana na Mafuriko Nairobi
Uzi maalum wa kurekodi Mvua El Nino zinaendelea katika nchi mbalimbali ulimwenguni. Panama wamapigwa na mvua na maporomoko ya udongo kwa mara nyingine, baada ya round ya kwanza kuwachapa kwelikweli. Soma Zaidi Mvua Zaharibu Mabomba: Estates 15 Nairobi Wakosa Maji Baada ya Mafuriko Miujiza Nepal; Sanamu ya Budha yabaki imesimama imara katikati ya Mafuriko makubwa! Mafuriko yalivyokumba Jiji la New York, miundombinu ya mifereji yazidiwa barabara zafurika maji Canada: Mvua Kubwa na Upepo Mkali Vyatikisa Toronto, maelfu wakosa umeme, safari za ndege zaahirishwa Takribani Watu 95 Wafariki, Mamia Wapotea baada ya mafuriko na maporomoko ya matope kutokea katika eneo la mpaka wa Nepal na Tibet Mafuriko makubwa Uhispania Mwanamke wa miaka 102 afariki Jiji la New York lakumbwa tena na Mafuriko makubwa Mafuriko makubwa yatokea kwenye Jimbo la Rivers nchini Nigeria, Mamba na wanyama wengine waonekana wakiogelea mitaani Mafuriko Nepal: Idadi ya waliofariki yazidi 60 baada ya mito kufurika na kuvuka viwango vya hatari Chile: Mafuriko makubwa yasomba magari na basi la abiria katika eneo la Las Condes Gavana Johnson Sakaja Atangaza Mpango wa KSh10 Bilioni Kukabiliana na Mafuriko Nairobi
R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,205 Reaction score 54,699 Oct 1, 2026 #2 Hivi hii elinino ni jua au mvua?