Mzuka wanajamvi!
Winga machachari wa Manchester united mswidi Antony Elanga 21, ndie mchezaji wa mwisho kwa kulipwa mshahara kwenye timu yake ya Manchester united.
Elanga analipwa pauni za ungereza elfu 5 (5000£) kwa wiki. Ambacho kusema kweli ni kidogo mno kwa kaliba yake. Kibongo bongo siyo haba.
Timu mbili za Primier league zinamgombania saini yake Everton na Nottingham Forest. Elanga ambaye thamani yake ni pauni million 10 inaelekea atahamia Nottingham Forest ambapo anauhakika wa kupata nafasi katika kikosi cha kwanza ukilinganisha akienda evarton. Pia akijiunga na Forest atakunja mkwanja mrefu wa 80,000 € kwa wiki kwa iyo kwa mwezi laki tatu na ishirini.
Mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko wote Man United sasa hivi baada David de Gea kuondoka ni Marcus Rashford 25. Rashford anakunja kwa wiki 375 k €. Na Antony Elanga anakunja 5 K €. Hakuna uwiano kabisa. Ahame tu.
Chini ni orodha ya mishahara wachezaji wa Manchester united wanapokea kwa wiki
1. David De Gea - £ 375,000 (kahama)
2. Jadon Sancho - £350,000
3. Raphael Varane - £340,000
4. Casemiro - £300,000
5. Anthony Martial - £250,000
6. Bruno Fernandes - £240,000
7. Antony - £200,000
8. Marcus Rashford - £200,000 (umepanda sasa hivi ni 375 K)
9. Harry Maguire - £189,904
10. Christian Eriksen - £150,000
11. Luke Shaw - £150,000
12. Fred - £120,000
13. Victor Lindelof - £120,000
14. Lisandro Martinez - £120,000
15. Donny van de Beek - £120,000
16. Aaron Wan-Bissaka - £90,000
17. Mason Greenwood - £75,000
18. Phil Jones - £75,000
19. Tyrell Malacia - £75,000
20. Brandon Williams - £65,000
21. Scott McTominay - £60,000
22. Marcel Sabitzer - £55,000
23. Tom Heaton - £41,923
24. Diogo Dalot - £25,000
25. Facundo Pellistri - £20,000
26. Anthony Elanga - £5,000