ELDORET: Mwanaume ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kumuua mkewe

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Mwanaume mmoja amuua mkewe kwa kumkata na panga sehemu mbalimbali za mwili wake kisha kumteketeza kwa moto

Mwanaume huyo aliyerejea kutoka Marekani mwezi mmoja uliopita yaelezwa kuwa alikuwa kwenye mgogoro na mke wake

Wawili hao wameelezwa kuwa ugomvi wao umekuwa gumzo katika mtaa wanaoishi kwani ni kawaida kugombaba hadharani


======

A man hacked his wife to death and burnt her body after a domestic quarrel in Eldoret.

Eldoret East police boss John Owuor said the suspect has been arrested after the incident that occurred last night.

Owuor said the man returned from the US last month and is said to have had bitter differences with his wife.

Police said the suspect used a sharp panga to cut the woman all over her body. He then took the body to a pit latrine in the compound and set it on fire.

- The Star Kenya
 
Ukute jamaa alipokuwa USA anabeba boxes,anatuma hela ijengwe nyumba,unakuta my wife wake kajenga kwenye kiwanja cha mama ake😁😁. Wewe USA umeuza kila kitu na green card umeirarua rarua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…