Eldoret vs Mwanza

Wazungu waliwasaidia jenga nchi hamna cha kujisifia.
Tafuta picha ya Kenya 1963 wakati Kenya ilinyakua Uhuru uone yale mabeberu waliwacha and 70s wakati mzee Jomo alikua Raisi uone yale mwafrika mweusi alifanya, kuna video pia, beberu hakuwacha magorofa ndefu Nairobi, tafuta picha ya miji; kaka Tanzania kubaki nyuma ni kwa ajili ya ujamaa, uzembe wa kiasilia, na utawala fyongo wa CCM kupitia propaganda. Shughulikia hali yenyu kaka., am hoping mheshimiwa Rais Magufuli ataleta mabadiliko na maendeleo hakika, kinyume na walio mtangulia., kama hatafuata the limited and twisted ideology ya ccm.
 
Loool!!! Number 2 vs number 5.....and it didn't have the muscle to.. .. Aw lord!
 
someone please fungua uzi ya nakuru vs mwanza tuwanyoroshe tena! kisumu imekwisha shinda, eldoret nayo pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…