vyombo vya kimataifa haviwezi kuongelea uchaguzi wa nchi inayoongozwa na kilaza jk. wanaongelea Ivory Coast na Brazil tu. Hata kwenye ramani ya dunia hatupo. Ndiyo maana nasema ccm ikae pembeni ili tuirejeshe nchi yetu kwenye ramani ya dunia.
Kuwa na amani kaka, subiri it is less than 3 days... jasho litakutoka.
Nilijua tu. Mtakata tamaa sana. CHADEMA HAITAIONGOZA TANZANIA MILELE.
Amani na utulivu gani wakati huko Mwananyamala zinapigwa?
Na Dunia kutusifu haitakuwa mara ya kwanza, lakini tunapokea sifa huku tunateketea kwa ufisadi na umaskini.