Mkoani zipo na vituoni zipo na ziko tofauti na za tume.
za tume sio zile za ukweli. Wameamua kuwa wezi wa wazi mbele za watu. Vibaka wanachomwa moto sijui hawa wanatarajia kufanywa nini.
Hivi hawa NEC ofisi zao ziko wapi jamani? niwekee data za direction tufuate haki yetu nauhakika Dr Slaa akitoa mwongozo tu, tutawamaliza NEC ndani ya siku moja adabu itakuwepo pale.