NathanSimon
Senior Member
- Feb 15, 2021
- 121
- 28
- Thread starter
-
- #21
Eneo lako lina ukubwa gani?Ikifika 10000 mnitag
Ni kwaajili ya niniOFFER OFFER OFFER
ELECTRIC FENCE INSTALLATION
HUGE OFFER 20,000/= per meter
fungiwa electric fence kwa 20,000/= kwa mita moja, gharama iyo inajumuisha vifaa vyote vinavyotumika na ufundi, tunafanya kazi mikoa yote popote pale tunakufikia mteja, wahi sasa.
Piga simu: 0745146690
View attachment 2360420View attachment 2360421
Ulinzi wa Mali zako, kuzuia wezi kuingia kwenye nyumba au ofisi yakoNi kwaajili ya nini
Hamna Sheria lakini unachokieleza icho alichokuambia uyo fundi sio sahihi ni kosa maana wiring ya umeme ina taratibu zakeNauliza kujifunza! Je, kuna sheria yoyote inayoongoza uwekaji wa shoti ya umeme kwenye nyumba yako ikijumisha hizo fensi za umeme?
Nauliza hivyo kwa sababu kuna fundi umeme aliniambia kuwa, anaweza kufoji shoti ya umeme nyumbani ambapo inaenda kutegeshwa hata kwenye dirisha la gril ili mwizi akigusa anaipata freshi.
Sasa mimi nilikuwa nataka nitegeshe hiyo shoti kwenye grili za banda la kuku milangoni na madirishani, ili mwizi akigusa tu anaipata freshi. Hofu yangu akiwa mgonjwa mgonjwa akanaswa na kufa ndani ya fensi yangu nakuta asubuhi maiti, je nitakuwa nina kesi?