NathanSimon
Senior Member
- Feb 15, 2021
- 121
- 28
- Thread starter
-
- #61
Boss electric fence ni best option kwa ulinzi wa mali zakoKuna nini humo ndani hadi kizuiwe kwa fensi ya umeme?. Mbona kuivuka ni rahisi tu!! Umeme wa Tanesco hukatika mara kwa mara!! That is the moment!! Ni mara mia ukafuga mbwa German Shepherd!! Ukifuga dume na jike watakulinda na watakuzalishia pesa!! mmoja anauzwa 800,000/= plus (akiwa na miezi 2). Kila mwaka hutakosa kuuza 10 na kukuingizia 8M!!
Shida ni kuwahudumia na pia wanazalisha taka ukilinganisha na fensi ya umeme.Kuna nini humo ndani hadi kizuiwe kwa fensi ya umeme?. Mbona kuivuka ni rahisi tu!! Umeme wa Tanesco hukatika mara kwa mara!! That is the moment!! Ni mara mia ukafuga mbwa German Shepherd!! Ukifuga dume na jike watakulinda na watakuzalishia pesa!! mmoja anauzwa 800,000/= plus (akiwa na miezi 2). Kila mwaka hutakosa kuuza 10 na kukuingizia 8M!!
German shepherd huwezi kuwapa sumu!! Wamefundishwa kulia kwenye chombo chake maalum!! Ukiwapa chakula mahali pengine hawali! Ila wafugwe na mtu mwenye uwezo wa kuwatunza!! Nyama kwao ni chakula cha kawaida, si kwamba ukiwatupia nyama yenye sumu ndo watababaika nayo!! Uwatunze katika namna ambayo watatosheka, na hakikisha wanafunzwa na mwalimu mtaalam wa mbwa!!Boss electric fence ni best option kwa ulinzi wa mali zako
Kwanza kwenye issue ya umeme ukikatika mashine ina backup battery ivyo fence inaendelea kufanya kazi
Pili mbwa unaweza kuwa poison na wezi wakaingia vizuri tu bali fence huwezi kufanya ivyo
Pia fikra za kwamba electric fence gharama ni kubwa sana sio kweli
Karibuni sana