Electric Motorcycle Assembly Plant in Kenya, Tupunguze Kutumia Petroli Inayoagiziwa Kutoka Nje Jameni

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
7,251
Reaction score
7,037
Hizi babaji zote ambazo ni zaidi ya miliioni 3 ndani ya Kenya, badala ya kupoteza foreign exchange kununua mafuta ya petroli, mbona serekali isi pige kampeni ya kutumia bajaji za stima ambazo zitatumia stima tunayozalisha sisi wenyewe ili hela zibaki ndani ya nchi, mwanzo inafaa hio battery inayoiatia nguvu bajaj ziwe kama mbili hivi, ukizunguka mtaani unaacha nyengine ikiwa ina charge, ukirudi unageuza na kuendelea na shughuli zako huku battery nyengine ikiendelea ku charge.... Sidhani kama ku charge bajaj inahitaji special socket zenye special power voltage kama vile electric cars..

Anyway, habari ndio hio.. Kiwanda cha kuunganisha pikipiki zinazotumia stima badala ya mafuta kinakuja Kenya...

April 09, 2019

DALLAS, April 09, 2019 (GLOBE NEWSWIRE) -- via OTC PR WIRE -- Alternet Systems, Inc. (OTC: ALYI) (“ALYI”) today confirmed a scheduled a management out-brief presentation this Friday, April 12th to be published from Kenya summarizing the details of this week’s meetings and the status of the overall deal management is developing, that would include a $20 million order. Management is currently in Kenya meeting potential partners and touring facilities to possibly open an assembly plant to complete manufacturing in Africa for ReVolt Electric Motorcycles to be sold across the African continent. The meetings in Kenya are being held in conjunction with a deal under development that would include an order for two thousand ReVolt Electric Motorcycles which would total $20 million in sales. ALYI has already signed $1.5 million in confirmed orders for its ReVolt Electric Motorcycles to be delivered in Kenya. The presentation will also include new developments in Kenya separate from but related to the agreement that could result in a $20 million order. The new developments, which were announced in a separate press release earlier today, pertain to an electric vehicle industry opportunity expected to contribute substantially to the ongoing advance of electric vehicle technology market-wide. ALYI could potentially play a major role in what could become an electric vehicle institution.

ALYI is focused on offering varied, environmentally sustainable, energy storage solutions for targeted markets, including consumer electric vehicles and military applications. The first product category is lithium battery-powered motorcycles, to be followed by motorbikes. ALYI also has an ongoing hemp energy storage initiative leading its current efforts to introduce an alternative to lithium batteries.
https://www.globenewswire.com/news-...Order-Out-Brief-Presentation-This-Friday.html
 
In a nutshell; electricity haija gain sana momentum due to the fact that petroleum is cheaper, although kutokana na environmental impacts na ukweli kwamba petrol ni resource inayokwisha in the end kama electricity itakuwa cheaper na efficient kuliko petrol naturally umeme uta-take over..

Pia kumbuka unless huo umeme ni direct from renewable energy (solar au wind) au Hydro electric basi ukweli ni kwamba hio petrol inatumika indirectly...,

It a good way to go since pia maintanance of electric is better than petrol, ila efficiency na economics of electricity mpaka sasa still leaves a lot to be desired
 
Hizi babaji zote ambazo ni zaidi ya miliioni 3 ndani ya Kenya, badala ya kupoteza foreign exchange kununua mafuta ya petroli, mbona serekali isi pige kampeni ya kutumia bajaji za stima ambazo zitatumia stima tunayozalisha sisi wenyewe ili hela zibaki ndani ya nchi, mwanzo inafaa hio battery inayoiatia nguvu bajaj ziwe kama mbili hivi, ukizunguka mtaani unaacha nyengine ikiwa ina charge, ukirudi unageuza na kuendelea na shughuli zako huku battery nyengine ikiendelea ku charge.... Sidhani kama ku charge bajaj inahitaji special socket zenye special power voltage kama vile electric cars..

Anyway, habari ndio hio.. Kiwanda cha kuunganisha pikipiki zinazotumia stima badala ya mafuta kinakuja Kenya...

April 09, 2019

DALLAS, April 09, 2019 (GLOBE NEWSWIRE) -- via OTC PR WIRE -- Alternet Systems, Inc. (OTC: ALYI) (“ALYI”) today confirmed a scheduled a management out-brief presentation this Friday, April 12th to be published from Kenya summarizing the details of this week’s meetings and the status of the overall deal management is developing, that would include a $20 million order. Management is currently in Kenya meeting potential partners and touring facilities to possibly open an assembly plant to complete manufacturing in Africa for ReVolt Electric Motorcycles to be sold across the African continent. The meetings in Kenya are being held in conjunction with a deal under development that would include an order for two thousand ReVolt Electric Motorcycles which would total $20 million in sales. ALYI has already signed $1.5 million in confirmed orders for its ReVolt Electric Motorcycles to be delivered in Kenya. The presentation will also include new developments in Kenya separate from but related to the agreement that could result in a $20 million order. The new developments, which were announced in a separate press release earlier today, pertain to an electric vehicle industry opportunity expected to contribute substantially to the ongoing advance of electric vehicle technology market-wide. ALYI could potentially play a major role in what could become an electric vehicle institution.

ALYI is focused on offering varied, environmentally sustainable, energy storage solutions for targeted markets, including consumer electric vehicles and military applications. The first product category is lithium battery-powered motorcycles, to be followed by motorbikes. ALYI also has an ongoing hemp energy storage initiative leading its current efforts to introduce an alternative to lithium batteries.
https://www.globenewswire.com/news-...Order-Out-Brief-Presentation-This-Friday.html

Ni nzuri lakini ukiacha kununua petrol huoni kama utanunua betry and still u import and you loose money in the economy, labda uniambie betry mnatengez wenyewe
 
International language.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiswahili ni International language sema hakipo level ya English. Wewe mwenyewe umesema Tz na Ke tunatumia Kiswahili hiyo tayari ni international. Ila ukweli na wewe unaujua zaidi ya nchi 5 unaeza enda ukazungumza Kiswahili na uka eleweka. Achilia mbali kuwepo kwenye mitaala ya nchi zaidi ya 6 na vyuo vingi vya kimataifa kufundisha Kiswahili. Sijui unapata nini kujaribu kuishusha lugha ambayo ina itambulisha E.A.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi babaji zote ambazo ni zaidi ya miliioni 3 ndani ya Kenya, badala ya kupoteza foreign exchange kununua mafuta ya petroli, mbona serekali isi pige kampeni ya kutumia bajaji za stima ambazo zitatumia stima tunayozalisha sisi wenyewe ili hela zibaki ndani ya nchi, mwanzo inafaa hio battery inayoiatia nguvu bajaj ziwe kama mbili hivi, ukizunguka mtaani unaacha nyengine ikiwa ina charge, ukirudi unageuza na kuendelea na shughuli zako huku battery nyengine ikiendelea ku charge.... Sidhani kama ku charge bajaj inahitaji special socket zenye special power voltage kama vile electric cars..

Anyway, habari ndio hio.. Kiwanda cha kuunganisha pikipiki zinazotumia stima badala ya mafuta kinakuja Kenya...

April 09, 2019

DALLAS, April 09, 2019 (GLOBE NEWSWIRE) -- via OTC PR WIRE -- Alternet Systems, Inc. (OTC: ALYI) (“ALYI”) today confirmed a scheduled a management out-brief presentation this Friday, April 12th to be published from Kenya summarizing the details of this week’s meetings and the status of the overall deal management is developing, that would include a $20 million order. Management is currently in Kenya meeting potential partners and touring facilities to possibly open an assembly plant to complete manufacturing in Africa for ReVolt Electric Motorcycles to be sold across the African continent. The meetings in Kenya are being held in conjunction with a deal under development that would include an order for two thousand ReVolt Electric Motorcycles which would total $20 million in sales. ALYI has already signed $1.5 million in confirmed orders for its ReVolt Electric Motorcycles to be delivered in Kenya. The presentation will also include new developments in Kenya separate from but related to the agreement that could result in a $20 million order. The new developments, which were announced in a separate press release earlier today, pertain to an electric vehicle industry opportunity expected to contribute substantially to the ongoing advance of electric vehicle technology market-wide. ALYI could potentially play a major role in what could become an electric vehicle institution.

ALYI is focused on offering varied, environmentally sustainable, energy storage solutions for targeted markets, including consumer electric vehicles and military applications. The first product category is lithium battery-powered motorcycles, to be followed by motorbikes. ALYI also has an ongoing hemp energy storage initiative leading its current efforts to introduce an alternative to lithium batteries.
https://www.globenewswire.com/news-...Order-Out-Brief-Presentation-This-Friday.html
Good move, ni vizuri kupunguza uchafuzi wa hewa. Mkimaliza na piki piki mje kwenye train. Yale magari moshi yana chafua sana hali ya hewa ya E.A. Madaraka express peke yake ni zaidi ya piki piki milioni 1.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good move, ni vizuri kupunguza uchafuzi wa hewa. Mkimaliza na piki piki mje kwenye train. Yale magari moshi yana chafua sana hali ya hewa ya E.A. Madaraka express peke yake ni zaidi ya piki piki milioni 1.

Sent using Jamii Forums mobile app
Madaraja Express imeondoa 40% ya magari barabarani ambayo yanachangia uchafuzi wa mazingira zaidi ya gari la moshi....
 
Ni nzuri lakini ukiacha kununua petrol huoni kama utanunua betry and still u import and you loose money in the economy, labda uniambie betry mnatengez wenyewe
Battery itakaa Kwa muda mrefu bila kuhitaji kuagizia nyengine....
Hatshivyo, kitambo ilikua tunatengeneza battery kabla viwanda vifungwe kwasababu ya China walianza kutengeneza kila kitu Kwa bei ya kutupa.... hawa jamaa walikua viwanda vingi Sana , ni wakati wa kuviregesha
 
Ndugu ni ngumu sana kurudisha viwanda Africa ukizingatia tayari viongozi wetu wameshatia saini (EPA)mkataba wa kuingiza bidhaa bila kodi kutoka Ulaya. Wazungu na technolojia yao bettry zitakuwa bei rahisi sana kuliko hata Mchina na hapo ndio tutaota tu viwanda. Wale wanaolima maua ndio pekee watainjoy ila wale ambao tulikuwa tunategemea ajira kutoka viwandani tuanze kutafuta mashamba ya kulima maana ajira zitapotea.

Sijui sisi Waafrica tumelogewa wapi yaani Mzungu na Mchina wanashindana at our cost?[emoji1552]‍♀️ Africa Africa [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
 
Back
Top Bottom