electrical security system(mawazo)

electrical security system(mawazo)

bigjeff

Senior Member
Joined
Oct 25, 2009
Posts
111
Reaction score
22
Habari wakuu kuna mtu yoyote ambae ana ideas katika mambo ya security systems(cctv,fire alarms,intruder systems,access control) ,nitashukuru nikipata mawazo yake kuhusu soko la hii sector hapo nyumbani pia wenye kuchangia mawazo kuhusu mambo haya nitashukuru sana......nilikuwa kwenye kongamano la mambo haya nimepata contact nzuri za manufacturers nataka niwe distributor sema sijajua nyumbani hii sector inawezekana,asanteni.
 
Back
Top Bottom