Huu uzi ndiyo unanihakikishia kuwa Watanzania tunafeli vibaya sana, kuanzia namna ya kuajiri watu kwenye mashirika makubwa mpaka namna ya kuyaendesha.Poleni na majukumu wanajamii kwa wale ambao mmewahi kupita utumishi kufanya interview ya electrical technician TRC karibu kuchangia interview ilikuaje maswali yalioulizwa pia hata kwa wale mnaoenda kufanya interview siku ya jumamosi mwezi huu tuje kushare madesa tunaikabili vipi interview hii.
Si ndio hao watakao faulu interview watapewa traine inayohusu mifumo ya train tu. Pia kwa upande wa tanesco wale wanao faulu interview Huwa wanapelekwa school of tanesco kwa ajiri ya traine inayohusu Mambo ya tanesco tu. Electrical technician Ana Wigo mpana Sana wa kazi.Huu uzi ndiyo unanihakikishia kuwa Watanzania tunafeli vibaya sana, kuanzia namna ya kuajiri watu kwenye mashirika makubwa mpaka namna ya kuyaendesha.
Huko ilitakiwa vijana wanachomolewa kwenda kufanya parttime kuanzia wako shule za veta mpaka wanamaliza vyuo, wanajuwa kabisa wao ni wafanya kazi wa wapi, na michujo inatembea wakati wapo kazi za part time, bila mtu kuumizwa wala kujijuwa.
Watanzania tu wajinga sana, hatuna mipango, sera wala taratibu zinazotekelezeka kwa ufanisi, tunajuwa kuzima moto tu.
Umeongea vizur sana mkuuSi ndio hao watakao faulu interview watapewa traine inayohusu mifumo ya train tu. Pia kwa upande wa tanesco wale wanao faulu interview Huwa wanapelekwa school of tanesco kwa ajiri ya traine inayohusu Mambo ya tanesco tu. Electrical technician Ana Wigo mpana Sana wa kazi.
Hapo ndipo fikra zako zilipoishia kufikiri?Si ndio hao watakao faulu interview watapewa traine inayohusu mifumo ya train tu. Pia kwa upande wa tanesco wale wanao faulu interview Huwa wanapelekwa school of tanesco kwa ajiri ya traine inayohusu Mambo ya tanesco tu. Electrical technician Ana Wigo mpana Sana wa kazi.
We nae hujui lolote. Wala hujaelewa mjadala unahusu Nini.Hapo ndipo fikra zako zilipoishia kufikiri?
kwanini iwe hivyo utakavyo wewe, kwani zamani tulipokabishiwa reli na Muingereza ilikuwa? Au umekurupuka tu bila utafiti japo kiduchu?
Sema yamekuingia tu, umekosA jibu sasa unajaribu kunivaa binafsi. Nafahamu ndipo upeo wako uliupofikia.We nae hujui lolote. Wala hujaelewa mjadala unahusu Nini.
We mwehu tu, una ujua upeSema yamekuingia tu, umekosA jibu sasa unajaribu kunivaa binafsi. Nafahamu ndipo upeo wako uliupofikia.
Nimewacha kuwashangaa kondoo siku nyingi sana
We mwehu kbsaa,una ujua upeo wangu unapoishiaa?? Yaan ujinga ujinga wako unao andika ndio ujilinganishe na upeo wanguu?Sema yamekuingia tu, umekosA jibu sasa unajaribu kunivaa binafsi. Nafahamu ndipo upeo wako uliupofikia.
Nimewacha kuwashangaa kondoo siku nyingi sana.
Si nauhisi hapo kwenye maandiko yako, upeo wa muono wako umeishia mwisho wa pua yako.We mwehu tu, una ujua upe
We mwehu kbsaa,una ujua upeo wangu unapoishiaa?? Yaan ujinga ujinga wako unao andika ndio ujilinganishe na upeo wanguu?
Ni kweliii kbsa hujakosea.Si nauhisi hapo kwenye maandiko yako, upeo wa muono wako umeishia mwisho wa pua yako.