Electricity connectivity: Tanzania vs Kenya

TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri - JamiiForums
Screenshot_20200321-191513.png
Screenshot_20200321-131935.png
 
Tanzania kwa longo longo hatujambo. Tuzungumzie household zimeunganishwa na siyo vijjiji vilivyounganishwa. Ukweli usiofichika pamoja na kijiji kuunganishwa umeme ni nyumba chache tu kijijini zimeunga umeme. Hili ni tatizo la kutazamwa kwa undani zaidi.
 
Kweli mkuu, nchi zote hizi mbili bado sana kwenye maswala ya umeme! Kazi ipo!
 
Just to point out Jambo moja...By 2030 Tanzania wanakadiria kugenerate 2300Mw ilhali Kenya kwa sasa iko na kiasi hicho hicho in 2020. babayao255 Tanzania iko nyuma ya Kenya zaidi ya miaka 20
Endelea kuficha kichwa kwenye mchanga na kujipa matumaini ya kipumbavu.
 
Ukiona Geza akipotelea uzi huu fahamu amefunguka macho.
 
Endelea kuficha kichwa kwenye mchanga na kujipa matumaini ya kipumbavu.
Just interpreting data given by respective countries. Kubali unyonge uweze kutatua badala ya kuticha kichwa mchangani alafu Kati yangu na wewe nani mwenyewe matumaini ya kipumbavu ukizingatia 1350Mw Tz na 2300Mw Kenya?
 
Huwa unafaidika nini kupunguza namba?
 
Kumbuka sio data ya mwaka huu. Ikiwa una ya 2020 tusaidie mkuu.
tokea rais akiwa Kikwete, Kipindi muhongo anakua waziri wa nishati, ndie alieitoa tanzania kutoka 24% hadi hapo 36, kabla hata ya escrow..na hii ilikua ikutumika kama utetezi , japokua ana madudu ila kafanya vyema kuliko mawaziri wote hivyo asamehewe.. ni data hiyo hiyo mpaka leo hii, haijawah badilika ..uongo mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itagonga 100% in the next 3 years huku Kunyaland ikiendelea ku-argue na 36%!
 
tokea rais akiwa Kikwete, Kipindi muhongo anakua waziri wa nishati, ndie alieitoa tanzania kutoka 24% hadi hapo 36, kabla hata ya escrow..na hii ilikua ikutumika kama utetezi , japokua ana madudu ila kafanya vyema kuliko mawaziri wote hivyo asamehewe.. ni data hiyo hiyo mpaka leo hii, haijawah badilika ..uongo mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hujatusaidia. Tupe asimila kufikia mwaka huu au jana. Au huna?
 
Back
Top Bottom