Namalizia na hii DJ mix niliyodikiliza Sisyphus Berlin Summer 2023. It was an amazing experience kulikuwa na watu wa miaka mbali mbali. Ilikuwa maadhimisho ya miaka 10. DJ ali sample miziki ya 90s na 80s na kuiweka EDM friendly it was amazing. It was a three day event, from friday to monday morning. View: https://www.youtube.com/watch?v=HV8XB5XcBdA&t=2171s