Huwezi kuamini hizi mashine wabongo wameanza kuzichakachua, kuna rafiki yangu wakaribu kaniambia baadhi haya makampuni yaliyo pewa hii tena,yana jiusisha na uhalifu wa kuzichakachua hizi machine kwa bei nafuu kabisa na bila TRA kujua lolote linalo endelea kwenye hizo machine zao... Hii ni mbaya sana jamani kwa nini wabongo tuna penda vya bure kiasi hiki?