Za mtubma laki 2 na kuendelea..Zamani zanzibar vitu ilikuwa nafuu sana,tena watu walikuwa hawaendi Dubai,
wanachukulia mzigo zanzibar,
sijui ilikuaje kuaje,
ile hali ingeendelea leo zanzibar ingekuwa kama hongkong.
Mijitu ya bara kwa wivu,ikaweka kauzibe..
Vipi Tv flat inch 21 bei gani kama ipo?
JIPATIE BIDHAA ZIFUATAZO KWA BEI RAHISI KABISA KUTOKA ZANZIBAR.
1. TV Flat
Inch 32 Aina Star X zenye King'amuzi bei 350,000
Zipo Inch 40,50 na 55
2. Passi Philips bei 32,000/=
3. Rice Coker kilo 1.5 bei 50,000/=
4. Blender Bei Elf 50
5. Jagi la kuchemshia maji Bei Elf 25 Used.
6. Friji na Freezer za kila bei
Kwa wakaazi wa Dar Utaletewa mpaka Ulipo.
Usafiri NOT INCLUSIVE ila unapatikana wa Uhakika
Kwa Msaada na Maelezo Zaidi contact us
0674 616234
Imewekaje mkuuuuu??....Zamani zanzibar vitu ilikuwa nafuu sana,tena watu walikuwa hawaendi Dubai,
wanachukulia mzigo zanzibar,
sijui ilikuaje kuaje,
ile hali ingeendelea leo zanzibar ingekuwa kama hongkong.
Mijitu ya bara kwa wivu,ikaweka kauzibe..
Vipi Tv flat inch 21 bei gani kama ipo?
Mbona bei kama bara tuuJIPATIE BIDHAA ZIFUATAZO KWA BEI RAHISI KABISA KUTOKA ZANZIBAR.
1. TV Flat
Inch 32 Aina Star X zenye King'amuzi bei 350,000
Zipo Inch 40,50 na 55
2. Passi Philips bei 32,000/=
3. Rice Coker kilo 1.5 bei 50,000/=
4. Blender Bei Elf 50
5. Jagi la kuchemshia maji Bei Elf 25 Used.
6. Friji na Freezer za kila bei
Kwa wakaazi wa Dar Utaletewa mpaka Ulipo.
Usafiri NOT INCLUSIVE ila unapatikana wa Uhakika
Kwa Msaada na Maelezo Zaidi contact us
0674 616234
usidanganye watu, bei hizo ndio unasema rahisi, mbona naona ni za kawaida tuJIPATIE BIDHAA ZIFUATAZO KWA BEI RAHISI KABISA KUTOKA ZANZIBAR.
1. TV Flat
Inch 32 Aina Star X zenye King'amuzi bei 350,000
Zipo Inch 40,50 na 55
2. Passi Philips bei 32,000/=
3. Rice Coker kilo 1.5 bei 50,000/=
4. Blender Bei Elf 50
5. Jagi la kuchemshia maji Bei Elf 25 Used.
6. Friji na Freezer za kila bei
Kwa wakaazi wa Dar Utaletewa mpaka Ulipo.
Usafiri NOT INCLUSIVE ila unapatikana wa Uhakika
Kwa Msaada na Maelezo Zaidi contact us
0674 616234
tpa na tra ndio walioua hiki kitu manake unapigiliwa kodi mpaka unasema basi, juzi kuna mtu kauza vitz yake kwa 1.5m kuokoa mzigo wake bandarini, hawa jamaa wanabamiza mbaya ndio maana mtu anaona bora afate dubai au china moja kwa mojaImewekaje mkuuuuu??....
Ila kiukwel Zenj vitu vilikuwa bei rahisi sanaaa