Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Hii passport ya kielektroniki (cheti cha Covid19) itakua kwa kupandikizwa Chip au ya makaratasi tu?
Sawa Mkuu.Hakuna atakayepandikizwa chip, itatolewa kwa wote waliopata chanjo ya Covid-19.
Sawa Mkuu.
Manake kulikuwa na taarifa awali kwamba ili kumrahisishia mtu kubeba kadi nyingi mfukoni basi hiyo passport ya kielektroniki (cheti cha Covid19) iwe kwa njia ya Chip
Asante mkuu tupo pamojaSi kweli Mkuu.
Mataga masalia katika ubora wake!!nani amesema kuwa kila mwaka kutakuwa na chanjo ya covid19?!!Dunia hii,Yani tumetengenezewa kirusi ili watu wapigwe biashara,chanjo kila mwaka 😆
Eti mataga!itakua umepotea njia,rudi facebook!haya kasome link hapo chini...Mataga masalia katika ubora wake!!nani amesema kuwa kila mwaka kutakuwa na chanjo ya covid19?!!
Ni yapi maoni yako ,kwa unae pinga habari ya chanjo.Bunge la Ulaya na Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya wamefikia makubaliano ya kutoa passport ya kielektroniki (cheti cha Covid19) itayoruhusu Mtu kusafiri katika Nchi 27 za Umoja wa Ulaya ikionesha hali yake ya chanjo, majibu ya Covid19 au uzima wa afya yake.
Cheti hiki kinasemekana kitazuia hasara ambayo huenda ingepatikana msimu huu wa majira ya joto Ulaya ambapo Watu wengi husafiri katika Nchi tofauti kwa ajili ya utalii wakisisitiza kwamba hii ni kwa ajili ya kuaminiana tena, sio tu kwa Wanachama wa Umoja wa Ulaya lakini pia Raia wa Ulaya ili wafurahie haki yao ya kusafiri bila vizuizi.
Umemkomesha vibaya...!Eti mataga!itakua umepotea njia,rudi facebook!haya kasome link hapo chini...
Vipi kuhusu majirani zao wa Qatar? ...maana naona nao wamesitisha mamombi ya visa kuingia nchini kwaoDubai pia wako kwenye mchakato wa covid 19 passport for passenger