Ungechukua hiyo yenye mchanganyikoHabari wakuu
Nimechaguliwa electronics eng udsm ngaz ya bachelor naomba kujua hii course imekaaje maana vyuo vingne naona wamechanganya na course zngne kama tele na electrical
Pia napenda kujua soko lake
Electrical na electronics lao mojaHabari wakuu
Nimechaguliwa electronics eng udsm ngaz ya bachelor naomba kujua hii course imekaaje maana vyuo vingne naona wamechanganya na course zngne kama tele na electrical
Pia napenda kujua soko lake
Kula kitabu hiyo kozi itakutoaHabari wakuu
Nimechaguliwa electronics eng udsm ngaz ya bachelor naomba kujua hii course imekaaje maana vyuo vingne naona wamechanganya na course zngne kama tele na electrical
Pia napenda kujua soko lake
Soma unachopenda ambacho utakuwa comfortable kufanya kaziMechanical Vs Electrical, Kozi ipi ina uwanja mpana nataka nijilipue?
Tunahitaji mtu wa kufanya kazi za electronics na kufundisha pia.Kula kitabu hiyo kozi itakutoa
Iko vizuri kapige kazi acha kupoteza muda humuHabari wakuu
Nimechaguliwa electronics eng udsm ngaz ya bachelor naomba kujua hii course imekaaje maana vyuo vingne naona wamechanganya na course zngne kama tele na electrical
Pia napenda kujua soko lake
Mkuu ushawahi unda kitu tangu ujue fet na BJT.Uje nkufindishe how BJT na FET Zinavyofanya mazi
Joke[emoji54][emoji54][emoji54]
Mkuu ushawahi unda kitu tangu ujue fet na BJT.
Kuchoshana tu akili.
Hadi darasa la saba wakiwekwa control room wanaweza kufanya kazi za mitambo hata bila kujua FET inafanyaje kazi.
Hata std 7 wanaunda hizo amplifier Yani electronics ni kuchosha akili tu. Hakuna mbongo amewahi fungua kampuni ya uundaji wa vifaa vya electronics, zaidi ni kusimamia mitambo ilioundwa nje na ku troubleshoot kitu ambacho std 7 anaweza anafanya.Hua nasuka amplify,audio operation amplifier,na project ndogo ndogo za electonics
En now nipo kwenye mchakato wa kutengeneza SMPS
Hata std 7 wanaunda hizo amplifier Yani electronics ni kuchosha akili tu. Hakuna mbongo amewahi fungua kampuni ya uundaji wa vifaa vya electronics, zaidi ni kusimamia mitambo ilioundwa nje na ku troubleshoot kitu ambacho std 7 anaweza anafanya.
Juzi nimeona You tube kuna mghana/british ameunda wireless earbud ambayo inauwezo wa kutafsiri lugha 40 bila internet, hizo ndio project engineer anatakiwa aje nazo sio vi aplifier .
Try to crake the head uje na project zinazokutoa kwenye umasikini jumla.
Hivi ukiunda inverter unaweza uaga umasikini kweli si bora ya kilimo.
Ok! Ka.a umri wako mdogo jitahidi ukasome japo kurumia hayo mambo ni nadra sana.Sawa mkuu
Sikuwah kusoma chuo haya mambo
Zaidi natumia mtandao tu
Ahsante ntaendelea kujifunza
Vitu vingine sometimes watu huwa munaongea kwa mihemko, eti hata darasa la saba anasuka !! Wew unafikiri kudesign amplifier ni iweze kuamplify tu basi kazi imeisha ? , Tatizo most of you guys mnafikilia kuanza kufanya projects bila kuwa na skills alafu unataka ukacompete kimataifa (Nonsense). You don't bother knowing signal integrity, amplitude & phase response za amplifier kwenye frequency domain, temperature compensation, losses, low noise design, impedance matching, baluns, mixed signal design, linear characteristics za hizo FET na BJT, defaults zake huzingatii kwenye design, EMI and many many interesting things we consider during the design and this is what we call engineering sio hiyo yako unasema eti hata darasa la saba anafanya maybe iyo elimu ya chuoni kwenu lakini sisi UDSM unaposema engineering ni full packed huezi fananisha na mtu wa la saba mostly kwakuwa wewe chuoni kwenu mnabase na ufundi badala ya engineering ndo maana hamuoni uyofauti wenu na darasa la sabaHata std 7 wanaunda hizo amplifier Yani electronics ni kuchosha akili tu. Hakuna mbongo amewahi fungua kampuni ya uundaji wa vifaa vya electronics, zaidi ni kusimamia mitambo ilioundwa nje na ku troubleshoot kitu ambacho std 7 anaweza anafanya.
Juzi nimeona You tube kuna mghana/british ameunda wireless earbud ambayo inauwezo wa kutafsiri lugha 40 bila internet, hizo ndio project engineer anatakiwa aje nazo sio vi aplifier .
Try to crake the head uje na project zinazokutoa kwenye umasikini jumla.
Hivi ukiunda inverter unaweza uaga umasikini kweli si bora ya kilimo.
Na Hii ni power supply board kwaajili ya hiyo amplifier,Hiyo apo nimedesign ni 10W low noise audio amplifier,.
Hapo nimetest noise performance at 1Khz single tone frequency nmekuwekea na graph mbili za matokeo, curve ya juu ni baada ya kuapply low noise deaign techniques.
Nikupe tu sifa ya hii amplifier, hata source ya signal uipitishe kwenye usumaku hakuna disturbance yoyote utakayopata kwenye speaker, Pia hii design yangu inaweza kumatch impedance na speaker ya 8 Ohms kwa frequency za 100Hz hadi 2KHz.
Si utani...Hiyo apo nimedesign ni 10W low noise audio amplifier,.