Electronics repairing service

Electronics repairing service

Mtumishi Anyi

Member
Joined
Sep 11, 2018
Posts
31
Reaction score
18
Habari za kazi wakuu,

Kwa majina naitwa Hagai Anyimike, Ni Fundi Simu, Radio, Tv na vifaa vingine vya umeme, lengo la kuandika uzi huu ni ombi kwenu hasa wakazi wa Dar es Salaam ikiwa unahitaji huduma ya kutengenezewa kifaa/vifaa vyako naomba unipe hiyo kazi nitakufuata hapo ulipo hivyo pia nitakua nimekurahisishia kazi ya kupeleka kifaa chako kwa fundi, nitafute kwa namba: 0766428475

Natanguliza shukrani.

Ahsanteni
 
Tunahitaji mtu wa kufanya kazi za electronics na kufundisha pia.
Tupo Moshi ,Kilimanjaro
kama una interest tuwasiliane --0717157640
 
Back
Top Bottom