Elephant Tusks: I call upon tanzanian scientists to research on Regrowing elephant horns.

Elephant Tusks: I call upon tanzanian scientists to research on Regrowing elephant horns.

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
18,046
Reaction score
38,598
Following endless poaching acts in our national reserves
I urge our researchers, and other scientists to heavily invest and research on how we can plant genes/DNA or anything that can help in such phenomenon.

asee kizungu kazi. Naamisha kwamba
wataalamu wetu wafanye tafiti ambazo zitasaidia kukuza upya pembe za ndovu kwa muda mfupi ili pembe hizo zitumike kuliingizia taifa mapato..

wazo fyatu la leo hilo.
 
images - 2022-05-31T164410.375.jpeg
 
Kuna jamaa ananiambia Hizo sio pembe ni meno.

Kwaiyo unamaanisha kwamba wawewanayang'oa alafu yanaota tena ten?
 
Kuna jamaa ananiambia Hizo sio pembe ni meno.

Kwaiyo unamaanisha kwamba wawewanayang'oa alafu yanaota tena ten?
Ndiooooo ili kuepusha tembo kuuwawa kwasababu yatakuwa legally sold.
 
Kuna jamaa ananiambia Hizo sio pembe ni meno.

Kwaiyo unamaanisha kwamba wawewanayang'oa alafu yanaota tena ten?
Kazi ya meno ni nini?
 
Tembo meno yamemtoka nje na yanasifiwa, ila ngiri anasemwa...
 
Back
Top Bottom