Elewa biashara ya Forex na epuka matapeli

Mkuu mimi ni mtanzania halisi ningekuwa na nia ya kuwapigia chepuo basi ningetoa ushauri na kumtaja jina kwamba broker flani ndiye bora.nilichojaribu kuwaelewesha wengine nikwamba kuna soko la hisa msimamizi ni DSM na kuwa broker wa hilo soko kyna kanuni na miongozo ambayo itamlinda mnunuaji.
Je hili tunaloita soko la kubadilisha fedha linasimamiwa na nani na ni miongozo na sheria ipi ipi ipo kumlinda mnunuzi..je broker anatakiwa akidhi vigezo gani?.ukisema BOT yeye anasimamia beau de change na sasa amebadili vigezo kwamtu anaetaka kufungua bdchange laziza aweke 100mill chini.ukiangalia hata hao wanaojiita ma broker mwambie aweke 2m chini hawezi anategemea atakayokula kutoka kwako.

Tatizo watanzania tunapenda hela ya harakaharaka.
 
Hii biashara inabidi niifanye ili niujue utamu wa hii ngoma, maana wana sema utamu wa ngoma ingia kati ucheze, lakini pia mti wenye matunda ndio inaopigwa mawe.
Unataka kujaribu???...nakushauri download trial apps zipo playstore nyingi tu kwanza uone kabla ya kucomit na kutuma hela kwa m_pesa ikaliwa na wajanja
 
Hahahaha hapa ndo mnawakamatia watu najuaa kuwaonyesha hivi..mbona losses umezitoaaa
Unaweka ulizopata tu ulizopoteza zinaweza kuwa zaidi ulizo pata
Nahii app yako ya meta trader 4. Unaringishia trials tu piga meta trader 5
trial gani mkuu hakuna biz isio na loss loss napata na nishapata hata margin call but sihesabu kama loss maana Nina recover fresh mtaji wangu nishaurudisha ninatumia wa faida so
 
trial gani mkuu hakuna biz isio na loss loss napata na nishapata hata margin call but sihesabu kama loss maana Nina recover fresh mtaji wangu nishaurudisha ninatumia wa faida so
Probably sikatai...ila huyo broker ni wa nje na anaaminika sana kwakuwa yupo nchi yenye miongozo mizuri ya hii biashara,ni wa siku nyingi, execution time yake ya oder ni near perfect etc..saasaa kwa wale wa hapa kwetu wanaotaka watumiwe pesa kwa mpesa ndo waexecute oder ya mtu huo mda wote pips ngapi zitakuwa zimepanda na kushuka kama unavyojua it is a game of timing.....
 
Kwa wale ambao bado hajaifahamu forex au ambao wameisikia ila bado hawaamini ni njia halali ya kujipatia fedha...

Watanzania wengi hawaifahamu tofauti na wenzetu walioko Nigeria na Southafrica. Wabongo wanaoijua hufaidika kwa siri bila kuwashirikisha ndugu, jamaa na marafiki. Tusiwe wachoyo wa kuonyeshana fursa.

Muda unaopoteza whatsapp, facebook na instagram ungeutumia kujiingizia kipato, ni biashara hali inayofanywa na mabenki yote Duniani na sasa individuals kama wewe wanaweza kushiriki kupitia Broker mfano Templer. https://secure.templerfx.com/login/sign_up/113925

Kwenye simu yako nenda google store download app inaitwa meta-trader 4 (sio 5). Pia unahitaji kua na laptop ingawa si lazima kwa hatua ya mwanzo. Ili kusaidia wasioifahamu tutatoa mafunzo ya mwanzo introduction to forex bure.
(1) Kuelimisha kuhusu forex.
(2) Kuwawezesha kutumia forex
(3) Kufaidika na forex

Kwa wale wazoefu wa forex; tunatoa msaada wa strategy ambayo ni price action and quarter theory for analysis

We are using price action and quarter theory for analysis in the larger time frame and the BTMM method for a good time and position to enter trades (sniper entries).
You will need three templates on your laptop.
1) BTMM template,
2) Quarter theory lines drawn manually or by indicator
3) Price action support and resistance lines drawn on each pair.
*Install TDI indicator on your phone

Bonyeza link kujoin Telegram Channel na Group (Download Telegram kutoka google app. Whatsapp haifai inalimit ya member, Telegram haijai/no limit)

Signature Traders (BTMM)

Signature Traders Tz (BTMM)

Asanteni
 
Wadau wa Forex habari zenu!
Nani anauzoefu na broker ambaye anaspread ndogo zaidi ya Templer bila commission au kama ni ecn account kama Tickmill basi mwenye commission isiyozidi 3$. Nimeona wengi kama Exness classical account inayoanziwa na capital ya 2000$, anavyodai yeye hii inaspread ya 0.1 bila commission lakini kiuhalisia ni uongo, ukifungua real account unakutana na spread ya 0.7 +. Nataka kufanya aggressive scalping ndo maana nauliza wadau wenye uzoefu tujuzane. Lakini pia kama unatricks nzuri zaidi za kumwezesha trader immature kutengeneza profit zaidi kuliko hasara tupeane ujuzi
 
capital ya 2000$, anavyodai yeye hii inaspread ya 0.1 bila commission lakini kiuhalisia ni uongo, ukifungua real account unakutana na spread ya 0.7 +.
Nataka kufanya aggressive scalping
#1. whittworthinvesting
#2. axiory
#3. FreshForex
#4. Pepperstone

Au chagua mmojawapo kwenye hii list: http://fx-c.com/mt4-ecn/

Iwapo unajua vyema ABCs za broker unayemwitaji basi tumia hii search engine: https://www.100forexbrokers.com/advanced-broker-search/


Tumia hivi vigezo hapa chini na hakika utapata broker bora
- Broker Type
- Regulation
- ECN Account
- Scalping
- Hedging
- Trading Platform

Kila lakheri ndugu
 
Mkuu baada ya kupata upinzani mkubwa humu kuhusu FOREX umeamua kuja na ID mpya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…