ELEWA kuhusu HESLB.


Mkuu hebu dadavua kiundani zaidi hapo kwenye red
 
Da! huyo mtoto wa mama baba ake atakuwa fisad 2 km vp a2potezee watoto wa wakulma 2komae na heslb
 
big up mkuu ila cjaelewa kuhusu hzo grades A,B,C etc yan nani anakua grade A,nani B etc
 
big up mkuu ila cjaelewa kuhusu hzo grades A,B,C etc yan nani anakua grade A,nani B etc

sip wote watakao pewa 100% za mikopo. kutakua na makundi maana tunatofautiana hali ya kiuchumi ndio maana kutakua na viwango tofauti vya mikopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…