HansMaja
Senior Member
- Nov 9, 2010
- 104
- 124
Mwaka 2009 nilikua nasafiri kwenye daladala inayotoka Makumbusho kuelekea Mbagala. Mimi nilipanda hiyo daladala kwenye kituo cha Magomeni. Nilipopanda nilikuta daladala limejaa sana. Basi "Konda" akanisukumiza ndani nami nikajitahidi kupata nafasi.
Bahati nzuri au mbaya nilijikuta nimetazamana na binti mweupe, mrembo mweye chuchu saa sita. Nilimsalimia na tukaanza maongezi ya hapa na pale. Basi kila daladala lilipokua linatikisika,yule binti alikua akinigusa kwa zile chuchu zake kifuani kwangu.
Safari ilikua ya burudani mpaka niliposhuka kituo cha Rangi Tatu.