Eleza matumizi ya ''kwa'' kwenye

Eleza matumizi ya ''kwa'' kwenye

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,672
Reaction score
6,880
1.alikwenda kwa mjomba
2.ninakula kwa kijiko
3.amefungwa kwa wizi wa baiskeli
4.anakwenda shuleni kwa miguu
5.amenunua vitabu kwa bei ya juu
(msada tafadhali)
 
Mi naona Kwa zote zimetumika kama KIHUSISHI katika sentensi hizo na sio kiunganishi
 
Ngoja wenyewe waje ila hapo kwa kila sentensi kwa ina matumizi yake tofauti,
 
Back
Top Bottom