Siku ya kwanza wakati napelekwa secondari,nikiwa nipo kwenye korido huku nikisubiria utaratibu wa kuandikishwa,alitokea mwanafunz mmoja aliniambia nijaze shikamoo kwenye mfuko wake wa shati la shule.Kumbe nilitakiwa niseme shikamoo huku nikutumbukiza fedha kwenye huo mfuko wake,siku hiyo niliambuliwa kuchezea vibao vitatu vya nguvu kwa kushindwa kutimiza mashert
Karibuni tushare mikasa tuliyokumbana nayo
Karibuni tushare mikasa tuliyokumbana nayo