Elezea misukosuko iliyawahi kukukumba wakati ukiwa skuli

Ntandaba

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
922
Reaction score
1,483
Siku ya kwanza wakati napelekwa secondari,nikiwa nipo kwenye korido huku nikisubiria utaratibu wa kuandikishwa,alitokea mwanafunz mmoja aliniambia nijaze shikamoo kwenye mfuko wake wa shati la shule.Kumbe nilitakiwa niseme shikamoo huku nikutumbukiza fedha kwenye huo mfuko wake,siku hiyo niliambuliwa kuchezea vibao vitatu vya nguvu kwa kushindwa kutimiza mashert
Karibuni tushare mikasa tuliyokumbana nayo
 
Tuko primary tunatakiwa kwenda na maua tukafanya short cut kwenda kuiba maua kwenye nyumba ya mshua fulani hivi.

Tuko mstarini tunamuona yule mshua anakuja, alivyofika pale ukaguzi wa fasta akayatambua maua yake. Wote wenye maua yake tukapelekwa mbele.

Kutahamaki jamaa akachomoa pistol akaishoot moja juu.

Kumbavu.

Hakubaki mtu, hadi walimu wakachana tukakutana kesho.

Na kuiba maua kwake tukaacha.
 
Ni mengi ila kwa leo ngoja nisimulie hili!
Kipindi tunakaribia kufanya mitihani ya kuhitimu form four nilitandikwa bakora za kutosha mpaka niliporudi nyumbani nilishindwa kukaa!

Kosa nililofanya niliruka ukuta uliokuwa kama fensi kuzunguka shule yetu......
Sikupenda kuruka Na wala sikuwa Na historia ya ukorofi ila usiku wa kuamkia siku ya tukio nilisoma sana, sasa ile kunakucha nikapitiwa Na usingizi mpaka SAA mbili asubuhi!

Kufika getini zinachalazwa fimbo balaaa kwa walio chelewa Ndio nikasukumwa kutafuta alternative ambayo nayo haikuzaa matunda niliishia kukamatwa!

anyway now nasherekea matunda ya elimu yangu Na maumivu nilisha sahau!

Ilikuwa tarehe 30/8/
 
Shule za seminary sometimes zina upuuzi saana.

Nahama kutoka kayumba kwenda seminary siku kama nne mgeni nikakutwa na kosa la kutotandika kitanda, Ni soo kubwa father akamwita mzazi nikaonywa ikaisha.

Ikapita kama week hivi siku nikajisahau nika short cut njia ambayo imepandwa ukoka...kumbe sister mmoja kaniona.

Moja kwa moja akaniripoti kwa faza.

Faza akamwita mzazi njoo umchukue mwanao. Hata week mbili hazijaisha unafukuzwa shule.


Nkarudi zangu kayumba.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J320FN using JamiiForums mobile app
 
Siku sitasahau niko s6 nafanya UNEB siku ya pili tangu pepa zianze jioni yake nikarudi room kulala ili usiku kwenye saa 5,6 niamke nipige final touches kesho yake nlkw na Geography p1 n p2. Basi kushtuka saa 6 usiku umeme hamna kumbe mvua ilipiga na radi mpaka transformer ya shule ikaburst. Ikabidi nitumie mwanga wa simu kusomea mpaka asubuhi. Sikujali nitakamatwa wala nn?

Nyingine Niko f1 nilichelewa kuamka nikachelewa shule. Kufika wamefunga geti. Halafu kulikuwa na pepa siku hiyo ikabidi mimi na mchizi wangu Langa tupitie geti namba 6 ( kuruka ukuta). Tukaingia darasani fresh tukapiga pepa. Sasa balaa break time kuna teacher on duty akaniona akaniita wewe si nilikuona asubuhi nje ya geti ulichelewa. Ikawa soo. Tukadakwa wote nikawa suspended siku 4.
RIP Langa

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Yule bint nilimuuliza hilo harage halijaiva tulimenye
Hatari sana siku ile sikuchapwa ila nilipewa adhabu ya mwaka Mtoto wa mwalimu mie kesho yake sikuweza fika shule standard five st kayumba Fulani hiyo

Dr
 
Daaah kna cku natembea road asbh nmechelewa shule na kisket chng kifup knapepea tu kutahamaki nakula konzi nzto LA kichwa ad nahc nyota za blue na njano znawalk ke eyes nkatukana K'nyko K'mae M**nge unanipigia nn??? Ile kugeuka ni HEADMASTER aisee nilihic kupaparaiz hahahaaa CKWENDA SHULE nilienda shda ke maembe ad mda wa kurud nafka home wambea washamwambia bimdashi na barua kapewa BA's tukaenda NITANGAZWA M M2KU2 nkapewa kisiki kikubwaaa ning'oe ata pakuanzia cjui BA's washkaji wakawa wanajfcha jion Tr akisepa wanakuja kunisadia cku mbili kikawa kishatoka but kna Tr.mnoko akatuona akaninokolea tukaitwa ofcn tukala FIMBO 6 kla MTU na tofali efu 1 kufyatua kla MTU NILILIAAAA NILIUMIA SANAAA
Sa yule Tr.mnoko alkua anatembea na wanafunzi akamchukua MTT wa diwani akaenda nae gest mtaa wa mbali kdg nkazpata nkaenda kwa diwani kuchongelea tukabeba na police tukaenda kufumania hahahaaa alijuuutaaaa alisota rumande KAMWE HATOKAA ANISAHAU hahahaaa walim waliniita kunihoj kwann nmefanya vle nkasema kicking na tofali EF 1 CO MCHEZO ACHA NAE AUMIE...hahahaaa alivotoka hakukoma akampa mimba mwanafunzi kwao wanambana akataja wakaja shule kumkamata walimu wenzie wakamfcha AKATOROKA ad Leo hajulikan alipo Hahahaaa SITOSAHAU AISEE..,

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilikuwa ni mdaiwa sugu tangu form 2, basi ili nifanye mtihani wa form 4 mkuu wa shule akamtaiti dingi alipe madeni yote...mzee akanipa hela jumamosi mchana ili nipeleke jumatatu...jumamosi hiyo ilipofika jioni sijui zimwi gani likaniingia kwamba mbona mm sijawahi kula raha hata siku moja, basi nikakwea daladala mpaka kirumba pale nyuma ya uwanja wa ccm kirumba kuna night clubs kali sana zimeangaliana, basi nikawa nakula bata huku theni nahamia huku, nikakutana na mdada mreeeembo nikam'goa kwa elfu 70 na savannah za kutosha...nikaenda kupiga show...alfajri nikarudi gheto niko bwax halafu nina elfu 13 tu wakati mzee alinipa karo laki 2 na nusu.
 
Daaah kna cku natembea road asbh nmechelewa shule na kisket chng kifup knapepea tu kutahamaki nakula konzi nzto LA kichwa...

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app

Hiyo avatar kama hapo siyo hostel niambie ni wapi.

Nataka kuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…