Elfu tano unirudishie laki

Elfu tano unirudishie laki

flood

Senior Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
121
Reaction score
188
Hii sio sawa,
Huyu Bnt ni rafiki wa kitambo sana, mara nyingi amekuwa akiomba game tukumbushie ya ujana ila kulingana na majukumu ilishindikana
Sasa wiki jana nilimwambia nko Mwz akafurahi kuwa atanifuata, nikamwambia poa. Alipofikia ilikuwa nje ya mji na mm nilikuwa nje so nkasogea town kwasababu yake na kesho yake tukakutana nilikuwa nimelipia hotel nzuri tuu ili nione jiji la mwanza, mchana tukaenda kula nikalipia hela pungufu ya elfu tano basi Mrembo alikuwa nayo karibu akalipia, Baadae ananiambia nimelipia 5000 yangu unilipe laki, (nkajiwazia huyu mbona anahela kuliko mm ila anakaza) nikamwambia ntalipa 100% ila bado nikaona hajarizika, nikakausha.
Toka nimeamka sina hata hamu ya kujibu ujumbe wake, nimepanga nikiondoka sitamuaga mtu asiye nashukrani, yaan nilipie nauli, chumba, nyege za toka mwaka jana nikukamue zote na bado nikulipe...
Kuweni na huruma.
Msijiweke wrong parking
 
wewe umejuaje kama umemkamua zote. pengine haujamridhisha.
 
Huyo alikuja kukuuzia. Sio kukumbushia kama unavyodhani. Hilo neno kukumbushia ni lugha tu ya customer care!
 
Kwanza umejuaje nyege za toka mwaka jana anazo? Pili Nani kakwambia umemkamua zote?
 
Back
Top Bottom