Tetesi: Eli Mpanzu ni mchezaji wa simba,Atatangazwa karibuni

Tetesi: Eli Mpanzu ni mchezaji wa simba,Atatangazwa karibuni

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
3,880
Reaction score
11,134
ELie Mpanzu miaka 22 kutoka congo atatambulisha hivi karibuni mitaa ya msimbazi

Elie Mpanzu alikuwa mchezaji wa As Vita club ambaye mkataba wake umetamatika msimu huu,Kwa mujibu wa manager wa Mpanzu na taratibu za Congo mkataba ukitamatiki mchezaji ni mali ya club yake ya kwanza ambayo pia mazungumzo yamekaa sawa

Kwa mujibu wa Meneja wake kila kitu kimekwenda sawa na simba lakini wanaoweza kumuongelea Elie Mpanzu kwa sasa ni Simba sports club
Manager wa Elie Mpanzu ameyasema hayo kwenye mahojiano na crown FM
 

Attachments

  • Screenshot_20240726_131349_YouTube.jpg
    Screenshot_20240726_131349_YouTube.jpg
    139.9 KB · Views: 36
Nje ya mada
Crown FM inakuja kama wasafi ilivyokuja vile, kama E fm ilivyokuja.

Ni yaleyale tu, siku ikija redio nyingine tena itakuja hivihivi tena...
 
Back
Top Bottom