Eli ya paasaka wakiliitu wote

Akili za mtoa mada naamini ni Tanzania 1, amejua kuchezesha madishi ya wachangia mada na mods, he has a very good sense of humor, nampenda sana ...nacheka mpaka nameza dawa[emoji1] huyu probably ni mwalimu[emoji1]
 
Dah....mukeyako diodatimiza mikaishidininanne.....bado udamengi ya kudifunza bro 😎
 
Bado upo mwimbili hosibitali tu?
 
Dah kumamake [emoji28][emoji28]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91]
 
Hujamfuatilia, kuna siku sikupata usingizi kwa upuuzi wake na anafanya makusudi..nahisi namfahamu[emoji1] ni wa humu humu, mtu wa Tanga kuna kipindi alikuwa Bagamoyo! Ni jabali la Linguistic [emoji1] ana majibu huyoooo!
Hili zee litoa mada ni lipuuzi na jinga.
 
Uhamiaji Tanzania kama mpo humu; mtu wenu huyu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…