Elia Wilinasi amechapisha andiko la tafiti linalohusu uzalishaji wa mafuta kwenye journal ya kimataifa inayoitwa Energies

Elia Wilinasi amechapisha andiko la tafiti linalohusu uzalishaji wa mafuta kwenye journal ya kimataifa inayoitwa Energies

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Elia Wilinasi amechapisha andiko la tafiti linalohusu uzalishaji wa mafuta kwenye journal ya kimataifa inayoitwa Energies.

Kichwa cha andiko: Numerical Simulation of the Oil Production Performance of Different Well Patterns with Water Injection

Link: Numerical Simulation of the Oil Production Performance of Different Well Patterns with Water Injection

Paper nzuri sana.JPG


Elia Wilinasi aliwahi kuishauri serikali jinsi ya kukabiliana na ongezeko la bei za mafuta na mbolea.

 
Chini ya title naona majina ya watu wengi, hapo tunasemaje? Ameandika peke yake au wote walioorodheshwa hapo?
 
Back
Top Bottom