Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Habari marafiki,
Nataka kuwataarifu kuhusu andiko jipya lililochapishwa na Bwana Elia Wilinasi kwenye journal ya kimataifa inayoitwa (Geoenergy Science and Engineering) kuhusu uzalishaji wa gesi. Journal hii ina impact factor (IF) ya 5.168 na CiteScore ya 8.1 kwa mwaka 2021.
Ikumbukwe journal ya geoenergy science and engineering ni journal ya nne kwa ubora duniani kati ya journal zote zinazochapisha machapisho bora yanayohusu mafuta na gesi:
Ni habari njema kwa wale wote wanaopenda kufuatilia maendeleo katika sayansi na uhandisi wa mafuta na gesi.
Tafadhali jisikie huru kuipakua na kuisoma.
Asante!