Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Chawa wewe Kingu, una scandals za kutisha. Nani anamhitaji Samia? Labda wewe na familia yako. Hatumtaki Samia, muuaji na mtekaji mkubwa hilo lijitu---------------CHURA KIZIWIMgombea wa Ubunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu amefunguka kuwa "Kuna watu wanakuzodoa, eti CCM imekosea kukuteua, nampa Polepole taarifa CCM, tulisema tunakuhitaji"