Elie Mpanzu aongeza mzuka, acheza mechi ya kirafiki Simba SC dhidi ya KMC, vitu vyake vyawavutia wengi

Elie Mpanzu aongeza mzuka, acheza mechi ya kirafiki Simba SC dhidi ya KMC, vitu vyake vyawavutia wengi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Simba SC imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya KMC FC kwenye mchezo wa kirafiki uliopigwa leo KMC Complex, bao la Simba limefungwa na Kelvin Kijili wakati la KMC likifungwa na Pascal.
IMG_0720.jpeg

Fadlu kabla ya mechi dhidi ya Pamba Jiji, Novemba 22 aliomba michezo miwili ya kirafiki dhidi ya KMC FC na Azam FC.

Disemba 15 mwaka huu ni siku inayosubiriwa kwa hamu kubwa sana na mashabiki wa Simba, kwani wanaweza kumshuhudia nyota wao mpya, Elie Mpanzu akianza kuitumikia rasmi timu hiyo baada ya kufunguliwa kwa usajili wa dirisha dogo.

Mpanzu ambaye alitambulishwa Simba Septemba mwaka huu, hajaanza kuichezea timu hiyo mechi rasmi kutokana na kusubiri kufunguliwa kwa dirisha dogo.
 
Back
Top Bottom