Midimay
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 3,036
- 5,039
Eliezer Mbuki Feleshi ni jina ambalo halitajwi kwenye Kada ya sheria hapa Tanzania saana isipokuwa wakati ule was DP World. Lakini huyu ni mtu ambaye hadi sasa amebakiza cheo kimoja kizito tu katika Justice system ya Tanzania.
Ni rare situation kumtokea mtu mmoja. Eliezer Feleshi amekuwa DPP, Jaji Kiongozi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na sasa Jaji wa Mahakama ya Rufani. What a lucky man. The man must be wise.
Naona utabiri wangu unaniambia merits zote zinambeba yeye kuwa Jaji Mkuu baada ya Jaji Ibrahim Juma. I wish this happens.