Anajielewa, na sio mvivu wa kubukua alirudi pale UDSM School of Law kusomea LLD akiwa mtu mzima hivyo hivyo. Naamini wengi wetu (wakiwemo Gen Z) hawawezi hizo mambo.Ila kweli huyu Feleshi ana bahati sana ya vyeo. Nimepitia profile yake nikagungua kuwa ni watu wachacahe sana kama wapo ambao wamewahi kushika vyeo vikubwa vingi sana kwenye mambo ya sheria kama yeye.
Niliwahi kufanya naye kazi wakati akiwa mwanasheria kule Mwanza, jamaa ni mtu mmoja mwelewa sana na hana makuu.Anajielewa, na sio mvivu wa kubukua alirudi pale UDSM School of Law kusomea LLD akiwa mtu mzima hivyo hivyo. Naamini wengi wetu (wakiwemo Gen Z) hawawezi hizo mambo.
Kuna kundi la Akina mama waliteuliwa majaji wa Rufaa, Jaji Mkuu alivyoongezewa mkataba. Labda mabadiliko haya yabadili mambo.Eliezer Mbuki Feleshi ni jina ambalo halitajwi kwenye Kada ya sheria hapa Tanzania saana isipokuwa wakati ule was DP World. Lakini huyu ni mtu ambaye hadi sasa amebakiza cheo kimoja kizito tu katika Justice system ya Tanzania.
Ni rare situation kumtokea mtu mmoja. Eliezer Feleshi amekuwa DPP, Jaji Kiongozi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na sasa Jaji wa Mahakama ya Rufani. What a lucky man. The man must be wise.
Naona utabiri wangu unaniambia merits zote zinambeba yeye kuwa Jaji Mkuu baada ya Jaji Ibrahim Juma. I wish this happens.
Mungu huwanyanyua waiojikweza tofaut na mtu kama BUMUNDANiliwahi kufanya naye kazi wakati akiwa mwanasheria kule Mwanza, jamaa ni mtu mmoja mwelewa sana na hana makuu.
Feleshi alibebwa bebwa na akina Lowassa..... hana huo u special ni bahati tu!Anajielewa, na sio mvivu wa kubukua alirudi pale UDSM School of Law kusomea LLD akiwa mtu mzima hivyo hivyo. Naamini wengi wetu (wakiwemo Gen Z) hawawezi hizo mambo.
Hata mtoa uzi mtazamo wake ni kuwa Jamaa ana kismati( bahati). Sio kwamba ni specialFeleshi alibebwa bebwa na akina Lowassa..... hana huo u special ni bahati tu!