Elikunda Materu wa EATV anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya habari

Elikunda Materu wa EATV anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya habari

Msolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
2,713
Reaction score
3,559
Za Weekend JF,
Nimekuwa nikimfuatilia huyu mtangazaji wa EATV kwa aina yake ya utangazaji, ni mmoja ya watangazaji makini sana wanaochipukia, maana wasoma habari wengi wanaoibuka kwa sasa wamekuwa wakiigana sana kwa jinsi ya kutangaza, nina amini huyu jamaa akiendelea hivyo atakuwa mtangazaji wa kuigwa katika tasnia ya habari.
Kuna makala yake ilitoka kwenye gazeti ikielezea historia yake kuwa msomi mwenye shahada ya uzamili katika ngazi ya utawala wa biashara, amekuwa akionekana katika shughuli mbalimbali za ujasiriamali.

13680828_1389420684408486_9137274868324258083_n.jpg
 
Mkuu sidhani ni sawa kuita hizi ni kick, mimi nilisoma makala inayomhusu kwenye gazeti la Mwananchi nikaanza kumfuatilia,. Tuijifunze ku-appreciate vitu vizuri.
Hata Mimi namkubali yeye Na handsome boy Godwin Mawanja Wa Tv1 Na Efm.
 
We mapensho subiri ndani ya mwaka mmoja usishangae jamaa yupo cloudstv au hata efm radio.
 
Ah hahahaaa mkuu si uombe mod waverify akaunti yako mana unajipa kiki mwenyewe
Hahaha, angalia mimi nimejiunga lini hapa JF, mimi namkubali huyu Mtangazaji na wengine wanaochipukia kwenye tasnia ya habari ndio maana nika-share hapa.
 
Bora ungetuletea Samson ndo ana uelewa wa kumhoji mtu wa kada yoyote.huyu matelu anasoma maandishi sasa sijakuelewa hoja yako juu ya ubora wake.
 
Bora ungetuletea Samson ndo ana uelewa wa kumhoji mtu wa kada yoyote.huyu matelu anasoma maandishi sasa sijakuelewa hoja yako juu ya ubora wake.
Anasoma maandishi vizuri, let's learn to appreciate.
 
EATV namkubali yule bint anaitwa shimii, mapose yake tuu ....
 
Back
Top Bottom