wana Jf habarin za asbh nimeamka Leo na akil ya trump ya kuongea ukwel hata kama Wang hawapend hivi had Leo bado tuna wanafnz wanaish ktk mazngr haya ya darasa pata uthibitisho wa picha mm siongei sanaaaa jiooneeeeee
Hakuna lolote aje apoteze muda kwenye nchi sizomuhusu wkt wananchi wake wanamtumbulia macho! wazungu wanachojua ni kukuzu chumi zao sisi wenyewe ndo tunatakiwa kuwa na muamko