Said Shagembe
Member
- Jan 25, 2019
- 23
- 35
Hakikisha unakuwa mwalimu wa mwenzio, toa maarifa tuliyonayo kwa wengine. Namna unavyojiona wewe wa thamani ndivyo hivyo unapaswa kuwathamini wengine.
Tuishi kwa upendo tukielimishana na kufahamishana ili tujenge jamii na Taifa lililoimara.
Jamii na nchi yetu tutaijenga wenyewe na kama tutaamua kuibomoa tutaibomoa wenyewe. Lakini tukumbuke ikiwa tutaibomoa hakuna atakaekuja kuijenga Tena na kujiweka sawa.
Uonapo maovu yakemee pasipo na kusubiri yalete madhara Kisha useme "Nilijua tu".
#nitajielimisha
#Tuelimishane
#Elimu