Elimika na uburudike kwa misemo inayoandikwa kwenye Malori, Daladala, pikipiki, bajaji, baiskeli

Kuna gari moja la maji taka huko kenya lenyewe limeandikwa hatujabeba maziwa kaa mbali
 
Kuna hii kali imejirudia sana tu kwenye bajaj na malori, mkanye mkeo gari/bajaj si yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…