ELIMIKA: TRA wanaangalia Mwaka au Bei au Model?

KIMOMWEMOTORS

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2018
Posts
358
Reaction score
675
TRA WANAANGALIA BEI YA GARI AU NI MWAKA NA MODEL TU?

Na Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji Magari

Swali hilo muhimu liliulizwa na mmoja wa wadau wetu na majibu yake ni kama ifuatavyo.

Kwa ufupi ni kwamba

Ushuru wa gari yako utaamuliwa na vitu vyote vitatu yaani Bei ya gari, mwaka na model.

Kwa sasa TRA wamerahisisha kwa kutuwekea calculator ya mtandaoni itakayokuwezesha kujua makadirio ya ushuru wa gari yako kabla ya kuifikisha hapa nchini.

Ikitokea ukakosea kujaza kimoja wapo kati ya Mwaka au Model Code utapata matokeo ya ushuru ambayo hayatafanana na matokeo halisi siku gari ikifika bandari ya Salaam.

Ushuru utakaoupata kwenye calculator yako ndani yake kuna sehem inaonesha thamani ya gari husika huko nje ambayo ndio imeamua ushuru uwe hivyo ulivyo.

Sasa inapotokea gari uliyoagiza ina thamani kubwa kuliko thamani iliyo kwenye calculator ya TRA moja kwa moja ushuru utatakiwa kua zaidi ya ule ulioona awali kabla ya kuagiza...(maana yake gari yako ina thamani juu hivyo ushuru wake lazima upande kuendana na thamani ya gari hiyo), hii ndio sababu kuna watu wameacha gari zao bandarini kwa kukosa hiyo pesa ya kuongezea.

Sababu nyingine inayofanya ushindwe kutoa gari yako bandarini ni iwapo Agent wako atafanya makosa ya kibinadam kwa kuingiza taarifa zisizo sahihi hivyo kufanya ushuru uliolipwa usisome TRA jambo linaloweza kukulazimu kutakiwa kulipa ushuru kwa mara ya pili au ukalazimika kutumia gharama za ziada kufuatilia ili kuliweka sawa jambo hili.

Ili kujiepusha na changamoto ndogo ndogo kama hizo na zaidi ya hizo, tunashauri uagize gari kwa kutumia kampuni za Kitanzania haswa Kimomwe Motors (T) Ltd ambao tunalazimika kua makini sababu tunabanwa na mkataba
 
Je? Baada ya ushuru kuna gharama zinginezo za ziada ambazo unapaswa kulipia kabla kupokea gari lako na kuanza kulitumia?
 
Back
Top Bottom