Elimination of obstacles to progress? Tayari watanzania wameshashau juu masaibu yanalikumba taifa lao

Elimination of obstacles to progress? Tayari watanzania wameshashau juu masaibu yanalikumba taifa lao

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Huwezi kuwasikia wakihoji juu ya bajeti iliyopita kama itawaletea manufaa tena Maana sasa kila kona ni juu ya jamaa aliyetekwa na wasiojulikana.

Siku zote ni watu wa kufikiria mambo wanayoyaona kwa ukaribu. They are myopic in their minds. Wamesahau tayari juu Mgomo dhidi ya tozo na kodi kandamizi.

Ndio maana sasa wanakiri wazi kuwa Hayati JPM alifanya makubwa ndani ya miaka mitano tu. lakini kwa nini alikuwa na maadui waliomzunguka ndani ya CCM kuliko raia wa kawaida waliokuwa wanamlilia mabarabarani kila siku. Hili hawawezi kuhoji.

Hawewezi hata kuhoji kama taifa tutapataje mbadala wa Kiongozi kama hayati JPM ili ile kasi ya maendeleo aliyokuwa anatufanyia irudi ndani taifa letu.

Sasa imebaki makelele huko X kuwa aliyetekwa katekwa na Kada wa CCM ambae yupo Arusha, mara Mr Ben mara huyu.
 
Back
Top Bottom