Sekta ya elimi nchini Afrika Kusini imeanguka mno! Inaelezwa kwamba nchi hiyo ni moja ya nchi za Afrika zenye mfumo mbovu mno wa elimu hivi sasa, na kwamba watoto wanaomaliza elimu zao wanakosa maarifa ya msingi na walimu hawana mafunzo ya kutosha na hawafai. Waziri wa Elimu wa nchi hiyo amekiri baadhi ya maeneo ya taarifa hizo na kudai serikali inafanya chini-juu kuibadilisha hali hiyo. Inafahamika kuwa Watanzania wengi wameendelea kupeleka watoto wao kusoma nchini humo--habari ndio hiyo!
Source: Aljazeera World News leo
Source: Aljazeera World News leo