Elimu ajira na umaskini nchini tanzania hususani vijana

Elimu ajira na umaskini nchini tanzania hususani vijana

kapis

New Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Wana jf napata shida sana hasa nikijaribu kutafakali elimu pamoja na maisha kwa ujumla hasa pale ninapowasikia baadhi ya watu wakizungumza kua kama mtu hujabahatika kupata elimu za juu au professsional fulani na kwasababu ambazo kimsingi ziko nje ya uwezo wangu ,bali nimebahatika tu kupata elimu ya kidato cha 1-4 na katika pitapita zangu nimeshuhudia watu wakizungumza kwamba mtu asiyekua na elimu ya juu au professional fulani basi mtu huyo ni maskini maisha yake yote yaani hawezi kupata fedha nyingi ama hata kua tajiri je,hivi ni kweli wana jf?:A S cry:
 
Back
Top Bottom