Elimu bora / bora elimu

Elimu bora / bora elimu

MKILINDI

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
791
Reaction score
1,120
Moja:
K utokana na matokeo ya form kwa wanafunzi kuandika ambavyo havihusihani na majibu mf. Mashairi ya bongo flavour, matusi nk hivi ni kweli ndo adolcence age? Au ndo hawajui walichojifunza miaka minne yote?

Mbili:
Kama mdau wa elimu nini cha kufanya kunusuru janga kuelekea competion ya federation?
 
Kikubwa hapa walimu kulipwa madai yao ambayo itasababisha mgomo baridi kuisha ambayo itawafanya walimu kuwasimamia na kuwafundisha wanafunzi ipasavyo
 
kikubwa hapa walimu kulipwa madai yao ambayo itasababisha mgomo baridi kuisha ambayo itawafanya walimu kuwasimamia na kuwafundisha wanafunzi ipasavyo

nakubaliana nawe mkuu, ni wazi kuwa athari ya mgomo wa docta ni ya papo kwa papo lakini kwa mwalimu ni baada ya miaka kwa kuwa anatekeleza mtaala ndani ya muda maalumu, sio siri serikali itambue na ijifunze kwa hilo.
 
KWA HIYO WALIMU NDO WANAWAAAMBIA WANAFUNZI WAANDIKE MATUSI, sikubaliani na ninyi ila hiki kizazi tuangalie jinsi ya kusaidiana kukilea kinamatatizo yake!
 
Back
Top Bottom